Tuesday, September 20, 2016
Adobe photoshop
Somo la leo
Tutaona maana ya tools tofauti za Photoshop
Move tool ina fanya kazi ya move picha
Marquee tool ina fanya kazi yaku select kwenye kazi iufanyayo.
polygonal tool nayo inafanya kazi kama marquee tool ila apa ina kuwa tofauti kidogo maana una select sehemu utakayo wewe, tofauti na marquee
Kwenye polygonal tool
Kuna
lasso tool
Polygonal lasso too
magnetic lasso tool
Izo tool zina utofauti ila kazi yake ni moja tu ambaoyo ni ku select
Crop tool uyu jamaa yeye anafanya kazi ya kuongeza nafasi ya gazi yako unayo ifanya. Kwamfano, ulifungua seemu ndogo kama
Width 500 pixels
Height 500 pixels
Resolution 300 pixel/inch
Na ukiona kuwa kazi yako nikuwa na seemu yakuifanyia iyo kazi ni ndogo unaweza kuongeza au kupunguza pia.
eyedropper tool ina fanya kazi ya kuchagua rangu kwenye kazi unayo ifanya kwamfano
Ukiwa una chora cartooneyes
Kwajili yakupata rangi uitakayo kiuraisi eyedropper tool
Ina saidia kwa ilo.
patch tool
Uyu jamaa anafanya kazi sana kwa wa manipulator
Inafanya kazi ya ku select sehemu fulani na kuiweka kwenye seemu nyingine,
Kama, uki select seemu la jicho alafu ukichukuwa seemu iyo nakuipeleka seemu nyingine kama mdomo, kwenye seemu ya jicho kutachukuwa seemu ile ya mdogo.
Iyo ni mfano tu.
Spot Healing brush
Inafanya kazi ya kufuta kama mfano wa watu wenye chunusi, madoa doa kwemye mwili wao iyo apo inasaidia sana kuondoa uchafu uo.
Brush too iyo inafanya kazi ya kupaka rangi na kwa wachoraji ila sio tu kupaka rangi, ila kazi yake kubwa ni iyo.
Eraser tool uyu jamaa yeye uwa ni muaribifu wa ali ya juu, yani kazi yake yeye ni kufuta tu.
Ila kwenye iyi kuna eraser tofauti kama,
Background eraser tool
Yeye anafanya kazi kufuta vitu vilivyo nyuma ya photo, sio kama aifuti mbele ya photo ila inapashwa uwe makini na ukifanyacho.
Magic eraser tool uyu mi nampendaga sana yeye anakuaga mwerevu sana na uko fasa sana kwaku futa utakacho,
Ila kuwa makini sana na magic eraser tool kwenye picha ambayo ina rangi nyingi maana uyu jamaa akikutana tu na picha kama iyo yeye alikini uwa anachanganikiwa sana,
Yeye anafanya kazi zaidi kwenye picha ya rangi moja au rangi mbili au tatu.
Gradient tool wenye kujuwa kuandika uwa wana mtumia sana uyu jamaa kwa kuwapa manjonjo ya rangi nzuri wazitakazo. Kama rangi za zahabu/ gold na kazalika, ata wachoraji cartoon wengine wana mtumia pia.
Paint brucket tool
Iyi apa nikama beseni la rangi, lina saidia kubadili rangi pia, kwamfano uki select then una mtupia uyu jamaa selection yako inakuwa imepakwa rangi tayari.
Pen toolyeye anafanya kaza ya ku select seemu pia.
Uyu jamaa anafanya kazi sana kwenye kazi nyingi.
Apa tuko na
horizontal type tool apa ni kwandika tu.
kuna
Zoom kwajili yaku zoom picha yako au nafasi ya kazi yako.
Asannte wengine wata malizia apo naona ndio vitu muimu kujuwa apo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment