Barcelona vs celtic
Psg vs arsenal
Psv vs Atm
Mitanange yote saa 3:45
Tetemeko(Eathquake) Kagera
Tetemeko la ardhi limetokea mkoani kagera na kusababisha uharibifu mkibwa wa mali pamoja na watu kopoteza maisha Kama watanzania tunatoa pole kwa familia zote zilizofikwa na madhara hayo ya tetemeko ikiwa ni pamoja na kupoteza makazi,n.K