Monday, September 12, 2016

         Tetemeko(Eathquake) Kagera

Tetemeko la ardhi limetokea mkoani kagera na kusababisha uharibifu mkibwa wa mali pamoja na watu kopoteza maisha
Kama watanzania tunatoa pole kwa familia zote zilizofikwa na madhara hayo ya tetemeko ikiwa ni pamoja na kupoteza makazi,n.K

No comments:

Post a Comment