Thursday, September 22, 2016
Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MTADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.
Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanao taga yani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia kuku hao 11 baada ya miezi mitatu unaweza ukawa na kuku mia Tatu 300 au na zaidi kama unataka.
Nunua kuku wako katika chanzo cha kuaminika kuepuka magonjwa usinunue kuku sehemu za masokoni au kwenye mabanda ya njiani au kuku wanao safirishwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.
Unapo nunua kuku wakubwa kwanza unapo wafikisha wape chanjo ya mdondo (Newcastle vaccine) ili kuweka rekodi yako ya chanjo maana chanjo hii hurudiwa kila baada ya miezi 3. Ukumbuke tarehe uliyo wachanja na tarehe utakayo wachanja tena baadae.
Usinunue kuku kabla hujaandaa banda na Chakula.
Katika sh. 300000 toa sh.69500 ambayo utanunua Chakula cha kuku, kuku hawa hawana formula ya Chakula hivyo unaweza kununua material ukachanganya Chakula mwenyewe ampapo utaokoa pesa nyingi pia.
Mchanganuo Wa 69500 ni:-
Pumba gunia 1. Shs.20000 gunia la pumba lina kilo 70.
- paraza kilo 25 = 700x25 =17500. Paraza ni mahindi yaliyo vunjwa vunjwa kwaajili ya Chakula cha kuku.
-mashudu ya alizeti kilo 15. 700x15=10500
- layer's consetraite
Kilo 25 kifuko. = 21500.
Ukijumlisha utakuwa umepata kilo 135 kwa shs 69500. Ambapo kila kilo moja ya Chakula utakuwa umenunua kwa shiling 514.8.
Chakula hicho kichanganye kwa kutumia chepe kichanganye vizuri kichanganyike pumba lazima iwe kavu kabisa ikaushe usiwape kuku pumba mbichi.
Kumbuka kuku anayetaga anakula Gram 130 kwa siku
Hivyo kuku 10 watakula kilo 1.3 kwa siku ambayo ni gram 1300.
Hivyo tutaweza kuona Chakula chetu kitatupeleka zaidi ya siku 100 ya zaidi ya miezi mitatu.
TOA SHS 170000 AMBAYO UTANUNULIA KUKU.
Mchanganuo wake
Kwa kila kuku mzuri ambaye ajazeeka anayetaga utampata kwa shilingi 15000 na Jogoo nzuri utampata kwa shilingi 20000.
Jogoo 1 = 20000
Majike 10 x15000= 150000 jumla 170000.
Itakuwa imebaki shs. 60500
-Hii pesa iliyobaki ni kwa ajili ya kununu material ya bei nafuu na kutengeneza banda la kuku 10 hadi 20. Kuku hawa hawaitaji banda Kubwa kwasababu hawashindi ndani wataingia ndani wakati Wa kulala jiaoni na mchana wakati wakutaga
Kuku wachiwe eneo la kutosha na lenye mchanga watakao itumia kuoga kuondoa wadudu km papasi na utitiri sehemu wanayopenda kuoga nyunyizia Dawa ya utitiri.
Banda tengeneza la kuhamisha la futi 4x8x4 yani urefu kwenda juu futi 4 upana futi 8 kipenyo futi 4. Tumia materio yaliyo karibu nawe kama mirunda, mabanzi, Mabati reject au yaliyochakaa chicken wire au wire mesh, fito mbao 2x2 au 4x2 n.k. Kama ni sehemu za mjini litakugharimu kama Tsh 50,000-60,000.Vijijini au nje ya mji ambapo miti ni mingi litakugharimu Tsh 25,000 hadi 35,000.
Haya jinsi ya kuwaendeleza hao kuku ili kupata kuku wengi hadi utakao wataka. Hapa itabidi ukubali kupeleka Mayai sehemu ambapo wanatotolesha ambapo trey 1 ni shilingi 10000.
Hapa kuku hawa 10 watakupa wastani Wa Mayai 8 kwa siku ambapo kwa mwezi ni Mayai 240. Kila baada ya siku 7 peleka Mayai kwenye Mashine yakutotolea (incubator). Hivyo kwa mwezi utapeleka Mayai 240 utapata wastani Wa Vifaranga 200. Hivyo baada ya mwezi nakushauri usitotoleshe tena hao Vifaranga 200 ni wengi sana kwa kuanzia kwa kuwa tayari tunenunua Chakula cha kuku cha kutupeleka miezi mitatu basi Mayai utakayo endelea kuokota utayauza kwaajili ya kupata hela ya Chakula cha Vifaranga watakao toka hao zaidi ya 200. Hivyo mradi huu utakuwa unajiendesha wenyewe. Nikiwa na maana kama kuku 10 watakupa wastani Wa Mayai 8 kwa siku na Mayai 240 kwa mwezi ni wazi kwamba kuku hao wanakuingizia 120000 kwa mwezi ambaya sasa hela Hii itatumika kununua Chakula cha kulea hao Vifaranga ambapo Mayai ya mwezi tu yataweza kununua Chakula ambacho Vifaranga 200 watakula mwezi pamoja na chanjo na Dawa zote.
Hivyo baada ya miezi mitatu utakuwa na Vifaranga wakubwa Wa miezi miwili na Chakula cha kuku wakubwa ndo kitakuwa kinaishia hapa utachanganya Chakula cha aina moja tu wale Vifaranga watakuwa wameshakuwa kiasi cha kula Chakula chochote.
Wednesday, September 21, 2016
TUJIFUNZE KUPITIA HILI
USIPITE BILA KUSOMA HII
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiria, wakaendelea na safari. Mara wakati wanaenda, radi ikaanza kufuatilia gari. Kila wakienda, radi inapiga karibu na basi kana kwamba inalifuata basi. Likisimama, radi inapiga pembezoni mwa basi. Dereva kuona hivyo, akasimamisha gari mita 5 kutoka kwenye mti... Akawaambia abiria, "Humu ndani ya basi, kuna mtu ambaye leo ni siku yake ya kufa, tena kufa kwa radi. Ili tusife wote, nataka kila abiria ashuke akaguse mti ili anayepigwa na radi, apigwe wengine wasife kwa ajili yake. "Abiria wakitetemeka, wakaanza kushuka mmoja mmoja. Unaenda unagusa mti , kisha unarudi kwenye basi. Abiria wote pamoja na dereva mmoja mmoja, wakaenda, wakagusa mti na kurudi bila dhara lolote! Akawa kabaki abiria mmoja tu, ambaye alikuwa hajagusa mti. Abiria wote kwa macho ya hasira wakamwambia akaguse mti. Akawa anaogopa kufa. Akagoma. Wakamlazimisha kwa nguvu sana na kumtoa nje....... ........ Yule abiria akiwa amefumba macho, akaenda akagusa mti. Hamadi bin Vuu! Radi kali sana ikalipiga basi, abiria na wote waliokuwamo, wakafa palepale. Kumbe uwepo wake ndio ulikuwa unazuia abiria wengine wasidhurike na radi.
MAFUNZO
1. Unapofanikiwa, huwezi jua uwepo wa nani umefanikisha mafanikio yako, usichukue sifa zote peke yako. Wapatie na wengine bila kumsahau MUNGU.
2. Unaweza kujiona huna thamani sehemu ulipo, iwe kwenye kundi la WhatsApp, darasani, kazini, kwenye basi, barabarani bila kujua kama uwepo wako ni wa muhimu sana kwa ustawi wa wengine.
3. Usimtenge wala kumnyanyasa mtu au jirani yako, huwezi jua uwepo wake ni kwa ajili gani.
Comment neno 'ASANTE MUNGU' kwa ulinzi anaotupa na mema anayotutendea kila siku kisha SHARE na wengine
Tuesday, September 20, 2016
Adobe photoshop
Somo la leo
Tutaona maana ya tools tofauti za Photoshop
Move tool ina fanya kazi ya move picha
Marquee tool ina fanya kazi yaku select kwenye kazi iufanyayo.
polygonal tool nayo inafanya kazi kama marquee tool ila apa ina kuwa tofauti kidogo maana una select sehemu utakayo wewe, tofauti na marquee
Kwenye polygonal tool
Kuna
lasso tool
Polygonal lasso too
magnetic lasso tool
Izo tool zina utofauti ila kazi yake ni moja tu ambaoyo ni ku select
Crop tool uyu jamaa yeye anafanya kazi ya kuongeza nafasi ya gazi yako unayo ifanya. Kwamfano, ulifungua seemu ndogo kama
Width 500 pixels
Height 500 pixels
Resolution 300 pixel/inch
Na ukiona kuwa kazi yako nikuwa na seemu yakuifanyia iyo kazi ni ndogo unaweza kuongeza au kupunguza pia.
eyedropper tool ina fanya kazi ya kuchagua rangu kwenye kazi unayo ifanya kwamfano
Ukiwa una chora cartooneyes
Kwajili yakupata rangi uitakayo kiuraisi eyedropper tool
Ina saidia kwa ilo.
patch tool
Uyu jamaa anafanya kazi sana kwa wa manipulator
Inafanya kazi ya ku select sehemu fulani na kuiweka kwenye seemu nyingine,
Kama, uki select seemu la jicho alafu ukichukuwa seemu iyo nakuipeleka seemu nyingine kama mdomo, kwenye seemu ya jicho kutachukuwa seemu ile ya mdogo.
Iyo ni mfano tu.
Spot Healing brush
Inafanya kazi ya kufuta kama mfano wa watu wenye chunusi, madoa doa kwemye mwili wao iyo apo inasaidia sana kuondoa uchafu uo.
Brush too iyo inafanya kazi ya kupaka rangi na kwa wachoraji ila sio tu kupaka rangi, ila kazi yake kubwa ni iyo.
Eraser tool uyu jamaa yeye uwa ni muaribifu wa ali ya juu, yani kazi yake yeye ni kufuta tu.
Ila kwenye iyi kuna eraser tofauti kama,
Background eraser tool
Yeye anafanya kazi kufuta vitu vilivyo nyuma ya photo, sio kama aifuti mbele ya photo ila inapashwa uwe makini na ukifanyacho.
Magic eraser tool uyu mi nampendaga sana yeye anakuaga mwerevu sana na uko fasa sana kwaku futa utakacho,
Ila kuwa makini sana na magic eraser tool kwenye picha ambayo ina rangi nyingi maana uyu jamaa akikutana tu na picha kama iyo yeye alikini uwa anachanganikiwa sana,
Yeye anafanya kazi zaidi kwenye picha ya rangi moja au rangi mbili au tatu.
Gradient tool wenye kujuwa kuandika uwa wana mtumia sana uyu jamaa kwa kuwapa manjonjo ya rangi nzuri wazitakazo. Kama rangi za zahabu/ gold na kazalika, ata wachoraji cartoon wengine wana mtumia pia.
Paint brucket tool
Iyi apa nikama beseni la rangi, lina saidia kubadili rangi pia, kwamfano uki select then una mtupia uyu jamaa selection yako inakuwa imepakwa rangi tayari.
Pen toolyeye anafanya kaza ya ku select seemu pia.
Uyu jamaa anafanya kazi sana kwenye kazi nyingi.
Apa tuko na
horizontal type tool apa ni kwandika tu.
kuna
Zoom kwajili yaku zoom picha yako au nafasi ya kazi yako.
Asannte wengine wata malizia apo naona ndio vitu muimu kujuwa apo
Monday, September 19, 2016
NANI KAMA MAMA
KISA CHA KUSISIMUA
Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Akamwambia chagua mawili imma kunioa mimi au kukaa na mama yako, kwa sababu ukinioa mimi sitokubali mama yako aje hata harusini kwangu! Yule kijana aliemewa. Hakujua la kufanya. Mke anamtaka, lakini mama yake pia anampenda. Hivyo aliamua kuomba ushauri kwa mwalimu wake wa chuo kikuu. Alimwambia: moyo wangu unampenda mno binti niliyekwenda kumposa, lakini pia siwezi kuishi mbali na mama yangu. Nifanye nini?
Yule mwalimu mwenye hekima ambaye alikuwa anajua tabu alizopitia mama wa kijana yule, alimjibu kwa kumwambia: Kabla ya kukueleza uchague yupi kati ya wawili hao, rudi nyumbani, na leo usifanye chochote, ila kuikosha mikono ya mama yako. Yule kijana alifanya kama alivyotakiwa na mwalimu wake. Alipofika nyumbani aliomba idhini kwa mama yake amruhusu kuikosha mikono yake, na yule mama alimkubalia bila ya ajizi yoyote. Yule kijana alipoanza kuikosha mikono ya mama yake na kuona jinsi ilivyogugutaa kwa kazi za sulubu, alilia sana. Muda wote huu alikuwa hajawahi kuangalia viganja vya mama yake. *Je, na wewe umewahi kukaa na kuangalia viganja vya mama au baba yako kuona tabu walizopitia kukulea?* Kumbe baba wa yule kijana alifariki dunia yeye akiwa bado mdogo, yule mama aliamua kusamehe kila kitu kwa ajili ya mustakbali wa mwanawe. Alijitolea kufanya kazi za sulubu. Alikubali kuwa mtumishi wa ndani, kukosha nguo, kupiga deki na kila kazi ambayo alihisi ingelimletea chumo la halali bila ya kujali ugumu wa jkazu hiyo. Juhudi zake zilizaa matunda na kufanikiwa kumlea na kumsomesha mwanawe hadi chuo kikuu na sasa ni daktari ambaye ana mustakbali mzuri. Baada ya yule kijana kukumbuka yote hayo, alifanya haraka kumpigia simu mwalimu wake huku macho yakiendelea kububujikwa na machozi akimwambia, siwezi kusubiri hadi kesho. Jibu nimeshalipata. Siwezi kumtupa mama yangu kwa ajili ya mtu asiyejua thamani ya mama. Ahsante sana kwa kunionesha njia sahihi! Kamwe siwezi kumuuza mama yangu kwa ajili ya leo yangu wakati yeye ameuza maisha yake yote kwa ajili ya mustakbali wangu.
NANI KAMA MAMA?!? Maa! Tabasamu lako ni ufunguo wangu wa ofanisi.
Kama umeipenda.
Share kwa wengine ili nao wazinduke.
Ni muda upi sahihi kuingia kwenye mahusiano
Ninarudia tena (Zingatia hii ni Muhimu )
SOMO : NI MUDA UPI NI SAHIHI KWA MTU KUINGIA KWENYE MAHUSIANO MAPYA BAADA YA MAHUSIANO YALE YA KWANZA KUVUNJIKA.
●Watu wengi wanakurupuka na matokeo yake wanajikuta kila kukicha wanaumizwa kiasi kwamba hawana tena hamu na mahusiano tena, wamekata tamàa, hawaamini kama kuna mtu mwaminifu, hawataki kusikia habari za mahusiano, zaidi ya Yote hata kuna wengine walifanya maamuzi ya kuoa /kuolewa si kwa sababu wanapenda ila kwa sababu ni umri tu umewatupa mkono hivyo wakaamua kudumbukia popote ila upendo hakuna, japo wameolewa ila moyoni hampendi aliye naye kwa 100%.Kwa hiyo yupo 50/50.
■NI MUDA GANI HASA UNATAKIWA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO MAPYA
1.Ni Muda ambao una uhakika kuwa ,UKIMUWAZA EX ALIYE KUUMIZA, NDANI YAKO HAUPATI UCHUNGU.
2.Ni Muda ambao Umekwisha kutafakari kwa kina na kupata majibu juu ya sababu zilizokufanya ulie kwenye uhusiano uliokuliza na Ex wako. Maàndiko yanasema siku ya mabaya utafakari. Tafakari usije ukarudia kosa lile lile.
3.Ni Muda ambao Moyoni Mwako hauoni kama kuna sababu ya kurudiana na Ex wako.Kama unaona bado unampenda usitafute mtu mwingine maana utamsumbua kwa sababu moyo wako hautakuwa kwake bali kwa ex wako.
4.Ni Muda ambao Moyoni Mwako umemsamehe yule aliye kujeruhi na upo Tayari kumuacha aendelee na maisha yake pasipo kinyongo.
5.Ni Muda ambao mawazo yako hayapo Tayari kufanya maamuzi ya kutafuta mtu mwingine kwa nia ya kumkomoa ex wako, yaani kutaka kumkomeshea. Maana hapo ni kujiumiza mwenyewe na hayo ni maisha yako si ya ex wako.
6.Ni Muda ambao UMEMUOMBA MUNGU VYA KUTOSHA HADI MOYONI MWAKO UNAYO AMANI YA KRISTO
7.Ni Muda ambao UHUSIANO WAKO NA MUNGU HATA WEWE UKIJIKAGUA UNAONA KABISA UPO VIZURI SANA. Unajua Watu wengi mahusiano yao na wapenzi wao huwa yakivurugika hata mahusiano yao na MUNGU yanaharibika SANA.
8.Ni Muda ambao ukisikia habari za Ex wako haukasiriki na unaona hayo ndiyo maisha yake aliyoyachagua.
9.Ni Muda ambao umerelax na unautumia Muda wako mwingi kumtumikia MUNGU kwenye kusudi alilokuitia.
NB: VIGEZO HIVYO HAPO JUU NI DALILI NZURI KUWA SASA UPO TAYARI. UKIONA KUNA SEHEMU UNAKWAMA MUOMBE MUNGU AKUSAIDIE, NAYE ATAKUSAIDIA.
MUNGU AKUBARIKI

Thursday, September 15, 2016
Magonjwa Ya Figo
*SABABU ZA MAGOJWA YA FIGO. JIHADHARI NA ONYEKA!.*
Raia wa Ghana wanazidi kufa kwa matokeo ya ugonjwa wa Figo.
*JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO:*
*1.Usichelewe kwenda HAJA.* Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.
*2. Kula Chumvi kupita kiasi.* Inatupasa kula Chumvi isiyozidi 5.8 gramu kwa siku.
*3. Kula nyama kupita kiasi.*
Protini ikizidi sana katika mlo wako inadhuru figo zako. Mmeng'enyo wa Protini unazalisha amonia- sumu dutu ambayo ina uharibifu mkubwa kwa figo zako. Nyama nyingi inaleta uharibifu zaidi wa figo.
4. *Unywaji mwingi wa "Caffeins".*
Caffein hutokana na vinywaji vya Soda na vinywaji vingine laini kama Kahawa, Redblue n.k. Hupandisha shinikizo la damu na figo zako kuanza mateso. Unapaswa kupunguza kiwango cha Coke, Pepsi, Red Bull, nk ambavyo hunywa kila siku.
*5. Kutokunywa maji.*
Figo zetu lazima zichakatwe vizuri kutekeleza majukumu yake vizuri. Endapo hatunywi ya kutosha, sumu dutu inaweza kuanza kukusanyika katika damu, kama hakuna kimiminika cha kutosha kutoa kwa njia ya figo. *** Kunywa zaidi ya bilauri 10 za maji kila siku.
Kuna njia rahisi ya kuangalia kama unakunywa maji ya kutosha: Angalia rangi ya mkojo wako; Wepesi wa rangi, ndiyo vzuri.
*6. Kuchelewa matibabu.*
Tibu matatizo yako yote ya kiafya kwa uhakika na uwe unachunguza afya yako mara kwa mara. Wapendwa na wapenzi wangu, hebu tujisaidie wenyewe... Shirikisha wengine, kama unajali. ----------------
*Pia epuka vidonge hivi, ni hatari sana:*
D- baridi*
Vicks Action- 500*
Actified*
Coldarin*
Cosome*
Nice*
Nimulid*
Cetrizet- D
Hivi vidonge vina Phenyl propanol- amide PPA ambayo husababisha stroke na ni marufuku Marekani.
MWISHO... Tafadhali, kabla ya kufuta, msaidie rafiki yako kwa kumpitishia hii..!
*Inaweza kumsaidia mtu!*
Wasambazie wengi kwa kadiri uwezavyo.
Shirikisha ujumbe huu kwa mpendwa wako.
*Maonyo muhimu ya Afya*
1. Jibu (pokea) simu wito na sikio la kushoto.
2. Usinywe dawa zako kwa maji baridi....
3. Usile milo mizito baada ya saa 11 jioni.
4. Kunywa maji vuguvugu mengi asubuhi na kiasi usiku. Usinywe maji baridi kamwe.
5. Muda bora wa kulala ni kutoka saa 4 usiku hadi saa 10 Alfajiri.
6. Usilale mapema baada ya kumeza dawa au baada ya mlo. Usiku, Kula chakula laini.
7. Usipokee simu yako ikiwa haina chaji. Wakati huo mionzi huwa ina nguvu mara 1000 .
Je, unaweza kuwasambazia watu unao wajali?
Mimi nimeshafanya kwenu....!!.

Samatta katika EUROPA
Leo Mbwana Samatta na klabu yake ya FC Genk ya Ubelgiji
watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Rapid Wien ya Australia kwenye Ligi ya EUROPA.
Neno moja la kumtakia heri Samatta kwenye mchezo huo
watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Rapid Wien ya Australia kwenye Ligi ya EUROPA.
Neno moja la kumtakia heri Samatta kwenye mchezo huo
Ronaldo na rekodi zake
Mtaalamuu kaweka na kuvunja rekodi UEFA
goal alilofunga mtalamu cr7 kwa njia ya FAULO JANA LIMEMFANYA AFIKISHE FAULO 12 KATIKA MICHUANO HYO NA KUVUNJA RECODI YA DEL PIERO MWENYE MAGOLI 11
mm namwitaa MZEE wa marekodi
goal alilofunga mtalamu cr7 kwa njia ya FAULO JANA LIMEMFANYA AFIKISHE FAULO 12 KATIKA MICHUANO HYO NA KUVUNJA RECODI YA DEL PIERO MWENYE MAGOLI 11
mm namwitaa MZEE wa marekodi
Wednesday, September 14, 2016
UTAPIAMLO KWA WATOTO UNAEPUKIKA!!!!
UTAPIAMLO KWA WATOTO UNAEPUKIKA!
Je, wajua kwamba kwa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) asilimia 45 ya vifo vya watoto chini ya miaka mitano vinatokana na lishe duni?
Je, wajua kwamba watoto wa kundi hili wapatao milioni tano na laki 9 walifariki duniani mwaka 2015 pekee?
OKOA MAISHA YA MWANAO KWA KUMPATIA MLO KAMILI ULIOSHAMIRISHWA NA VIINI LISHE

SEMI MBALIMBALI TUNAZOZIISHI KATIKA JAMII
NI USEMI UPI UMEKUKAMATA?:
1. "Kuzaliwa masikini siyo kosa lako,ila kufa masikini ni ujinga wako." ~ Bill Gate
2. "Kushindwa kupanga ni kupanga kushindwa." ~ Felix Bundala
3. "Heri kufa na mawazo yanayoishi, kuliko kuishi na Mawazo yaliyokufa." ~ Che Guevara
4. "Vita inamalizwa kwa vita na ili tuachane na matumizi ya bunduki inabidi itumike bunduki." ~ Mao ze Dong
5. "Sitamani kumjua babu yangu alikuwa nani, ninachotaka kumfahamu mjukuu wake atakuwa na tabia gani." ~ Martin Luther King
6. "Usimuulize mtu yoyote anayenijua mimi maana utamjua yeye kupitia mimi." Joe Lescot
7. "Muonekano siku zote hutengeneza uwezekano." ~ Lucky Crackent
8. "Hatuwapendi wanawake kwa sababu ni wazuri, ila tunawaona wazuri kwa sababu tunawapenda." ~ Luck Crackent
9. "Watu ni wengi ila binadamu ni wachache." ~ Fidel Castro
10. "Usiishi kwa sababu unaishi, tafuta sababu ya wewe kuishi." ~ Jay Ozil Cazorla Wilshere
11. "Hakuna mkate mgumu mbele ya chai." ~ Bob Sydou
12. "Kichwa kikubwa bila Akili ni Adhabu kwa miguu." ~ Thabiti Kube..

Lionel Andres Messi
HIV NDIVYO ILIVYO , MGUU 1 WA MESI N ZAID YA MIGUU 22 YA WACHEZAJ WA CELTC : Lig ya mabngwa baran Ulaya ilianza rasmi hapo jana kwa michezo 7 ya makundi A-D huku mechi zngine 9 zkipgwa leo kuanzia kundi E-H , pa1 na mchezo wa kiporo wa kundi C kat ya Ct v/s Borusia moncheng gladbach . Ktk mchezo pekee wa kundi C kat ya FC BARCA v/s CELTC mvua ya magol iliwashukia Celtc ikiôngozwa na Brendan Rodgers Pa1 na baadh ya majna toka EPL kama , Kolo-2re , Adam Amstong , Sinclair na Boyata , huku mesi akifunga hat trick ktk mchezo huo . Mbali na hat trick Mesi amewaongoza wachezaj kutoka AMERIKA KUCN toka nchi 4 za ARGENTNA , BRAZIL , URUGUAY na CHILE kufunga gol 11 kat ya 22 yaliofungwa jana , huku mengine 11 yakiongozwa na mjeruman Joshua Kimmich kufungwa na wachezaj wa Ulaya toka mataifa 4 tofaut ambayo n SPAIN , POLAND , SWITSLAND na GERMANY . Sasa swali je , Cr7 ata wakomboa Celtc leo?
Mwenyekiti wa bunge aomba radhi
Mwenyekiti wa Bunge amwomba radhi Mbowe
Hatua hiyo imefutia mwongozo ulioombwa na wabunge wawili Chadema, kuwa mchango wa Mbowe haukutambulika licha ya kufika Bukoba, kutoa misaada na kushirikiana na waathirika wa tukio hilo hadi sasa.
Aliyeanza kuomba mwongozo ni Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche ambaye alihoji kwa nini mwenyekiti huyo wa Bunge amewatambua viongozi waliofika eneo la tukio na kutoa misaada lakini ameshindwa kumtambua Mbowe ambaye mpaka sasa yupo eneo la tukio na ametoa msaada.
Mbunge mwingine ni Pascal Haonga wa Mbozi ambaye alisema Mbowe ni kiongozi mkubwa na halitakuwa jambo la maana kama mchango wake hautatambulika kwani suala hilo siyo la kisiasa.
Kufuatia mwongozo huo, Zungu aliomba radhi na kuongeza kuwa anamtambua Mbowe kama kiongozi aliyetoa msaada kwa waathirika hao.
Awali, Mwenyekiti huyo wa Bunge baada ya kuingia ukumbini alitoa pole kwa waathirika wa tetemeko hilo lililoua watu 17 na kuwatambua watu waliochangia tukio hilo akiwamo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na wafanyabiashara.
Baada ya kipindi cha maswali na majibu kuisha, mwenyekiti huyo aliwatambua wafanyabiashara wengine waliotoa msaada kwa waathirika hao lakini hakugusia msaada ulitolewa na Mbowe.

Tuesday, September 13, 2016
Michuano ya hatua ya makundi ya michuano ya mabingwa barani ulaya imeanza hukutukishuhudia Barcelona ikiwaadhibu Celtic kwa kipigo kikali cha magoli 7 kwa sifuri
Matokeo mengine ni pamoja na PSg waliotoka sare ya magoli ya moja-moja na Arsenal.Kwingineko vijana wa Diego simeon wamepata ushindi ugenini mjini amsterdam dhidi ya PSV
Michuano hiyo ayaendelea tena siku ya leo kwa kikosi cha Real madrid,Manchester city,leicester city, kushika dimbani kunako hatua ya makundi
Monday, September 12, 2016
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
UEFA champions league group stage
Barcelona vs celtic
Psg vs arsenal
Psv vs Atm
Mitanange yote saa 3:45
Barcelona vs celtic
Psg vs arsenal
Psv vs Atm
Mitanange yote saa 3:45
Subscribe to:
Comments (Atom)